Umemuona huyu mtoto?

0
1276

Piga; 0729 950254 au 0716125097

Mtoto wa miaka 8 mvulana Kwa jina Wesley Makokha kutoka kijiji cha Ranje alipotea siku ya jumamosi jioni anatafutwa na wazazi wake. Alikuwa amevalia t-shirt nyeupe suruali nyeusi akiwa mguu tupu. Mara ya mwisho lionekana soko ya chebukube mjini Bungoma. Iwapo umekutana naye tafadhali ripoti kituo cha polisi kilicho karibu nawe au uwapigie wazazi wake Kwa nambari 0729 950254 au 0716125097

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here